Tumejikita katika kutoa elimu kuanzia elimu ya msingi darasa la tatu mpaka darasa la saba na sekondari kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita kwa kufuata mtaala wa Elimu ya Tanzania.Pia masomo yetu yamelenga katika tasnia ya hesabu, sayansi na tehama ili kuhakikisha tunakiandaa kizazi cha kesho vizuri katika masuala ya Sayansi na Tehama.